Native Bible

1 Chronicles 6:75 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hukoki na Rehobu, pamoja na maeneo yake ya malisho.

1 Chronicles 6:75 in English

1 Chronicles 6:75 · Berean Standard Bible

Hukok, and Rehob, together with their pasturelands.

Context

73Ramothi na Anemu, pamoja na maeneo yake ya malisho. 74Kutoka kabila la Asheri walipokea Mashali, Abdoni, 75Hukoki na Rehobu, pamoja na maeneo yake ya malisho. 76Kutoka kabila la Naftali walipokea Kedeshi katika Galilaya, Hamoni na Kiriathaimu pamoja na maeneo yake ya malisho. 77Wamerari (Walawi waliobakia) walipokea miji ifuatayo: kutoka kabila la Zabuloni walipokea Yokneamu, Karta, Rimoni na Tabori pamoja na maeneo yake ya malisho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.