Native Bible

1 Chronicles 4:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Yahaleleli walikuwa: Zifu, Zifa, Tiria na Asareli.

1 Chronicles 4:16 in English

1 Chronicles 4:16 · Berean Standard Bible

The sons of Jehallelel: Ziph, Ziphah, Tiria, and Asarel.

Context

14Meonathai akamzaa Ofra. Seraya akamzaa Yoabu, baba wa Ge-Harashimu.* Liliitwa hivyo kwa sababu watu walioishi humo walikuwa mafundi. 15Kalebu mwana wa Yefune alikuwa na wana watatu: Iru, Ela na Naamu. Naye mwana wa Ela alikuwa: Kenazi. 16Wana wa Yahaleleli walikuwa: Zifu, Zifa, Tiria na Asareli. 17Wana wa Ezra walikuwa: Yetheri, Meredi, Eferi na Yaloni. Mmojawapo wa wake zake Meredi aliwazaa: Miriamu, Shamai na Ishba aliyekuwa baba yake Eshtemoa. 18Meredi alikuwa na mke mwingine Myahudi ambaye aliwazaa: Yeredi baba wa Gedori, Heberi baba wa Soko na Yekuthieli baba wa Zanoa. Hawa walikuwa watoto wa Bithia binti Farao, ambaye Meredi alikuwa amemwoa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.