Native Bible

1 Chronicles 4:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Meonathai akamzaa Ofra. Seraya akamzaa Yoabu, baba wa Ge-Harashimu.* Liliitwa hivyo kwa sababu watu walioishi humo walikuwa mafundi.

1 Chronicles 4:14 in English

1 Chronicles 4:14 · Berean Standard Bible

Meonothai was the father of Ophrah, and Seraiah was the father of Joab, the father of those living in Ge-harashim, which was given this name because its people were craftsmen.*

Context

12Eshtoni akawazaa Beth-Rafa, Pasea na Tehina. Tehina alikuwa baba wa Iri-Nahashi. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Reka. 13Wana wa Kenazi walikuwa: Othnieli na Seraya. Wana wa Othnieli walikuwa: Hathathi na Meonathai. 14Meonathai akamzaa Ofra. Seraya akamzaa Yoabu, baba wa Ge-Harashimu.* Liliitwa hivyo kwa sababu watu walioishi humo walikuwa mafundi. 15Kalebu mwana wa Yefune alikuwa na wana watatu: Iru, Ela na Naamu. Naye mwana wa Ela alikuwa: Kenazi. 16Wana wa Yahaleleli walikuwa: Zifu, Zifa, Tiria na Asareli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.