Native Bible

1 Chronicles 4:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kalebu mwana wa Yefune alikuwa na wana watatu: Iru, Ela na Naamu. Naye mwana wa Ela alikuwa: Kenazi.

1 Chronicles 4:15 in English

1 Chronicles 4:15 · Berean Standard Bible

The sons of Caleb son of Jephunneh: Iru, Elah, and Naam. The son * of Elah: Kenaz.

Context

13Wana wa Kenazi walikuwa: Othnieli na Seraya. Wana wa Othnieli walikuwa: Hathathi na Meonathai. 14Meonathai akamzaa Ofra. Seraya akamzaa Yoabu, baba wa Ge-Harashimu.* Liliitwa hivyo kwa sababu watu walioishi humo walikuwa mafundi. 15Kalebu mwana wa Yefune alikuwa na wana watatu: Iru, Ela na Naamu. Naye mwana wa Ela alikuwa: Kenazi. 16Wana wa Yahaleleli walikuwa: Zifu, Zifa, Tiria na Asareli. 17Wana wa Ezra walikuwa: Yetheri, Meredi, Eferi na Yaloni. Mmojawapo wa wake zake Meredi aliwazaa: Miriamu, Shamai na Ishba aliyekuwa baba yake Eshtemoa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.