Native Bible

1 Chronicles 4:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Kenazi walikuwa: Othnieli na Seraya. Wana wa Othnieli walikuwa: Hathathi na Meonathai.

1 Chronicles 4:13 in English

1 Chronicles 4:13 · Berean Standard Bible

The sons of Kenaz: Othniel and Seraiah. The sons of Othniel: Hathath and Meonothai.*

Context

11Kelubu, nduguye Shuha, akamzaa Mehiri, naye Mehiri akamzaa Eshtoni. 12Eshtoni akawazaa Beth-Rafa, Pasea na Tehina. Tehina alikuwa baba wa Iri-Nahashi. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Reka. 13Wana wa Kenazi walikuwa: Othnieli na Seraya. Wana wa Othnieli walikuwa: Hathathi na Meonathai. 14Meonathai akamzaa Ofra. Seraya akamzaa Yoabu, baba wa Ge-Harashimu.* Liliitwa hivyo kwa sababu watu walioishi humo walikuwa mafundi. 15Kalebu mwana wa Yefune alikuwa na wana watatu: Iru, Ela na Naamu. Naye mwana wa Ela alikuwa: Kenazi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.