Native Bible

1 Chronicles 3:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Elishama, Eliada na Elifeleti; wote walikuwa tisa.

1 Chronicles 3:8 in English

1 Chronicles 3:8 · Berean Standard Bible

Elishama, Eliada, and Eliphelet—nine in all.

Context

6Pia kulikuwa na wana wengine: Ibihari, Elishua, Elifeleti, 7Noga, Nefegi, Yafia, 8Elishama, Eliada na Elifeleti; wote walikuwa tisa. 9Hawa wote walikuwa wana wa Daudi, mbali na wale wana waliozaliwa na masuria. Naye Tamari alikuwa dada yao. 10Mwana wa Solomoni alikuwa Rehoboamu, mwanawe huyo alikuwa Abiya, mwanawe huyo alikuwa Yehoshafati, mwanawe huyo alikuwa Asa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.