Native Bible

1 Chronicles 3:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Noga, Nefegi, Yafia,

1 Chronicles 3:7 in English

Context

5nao hawa ndio watoto wa Daudi waliozaliwa huko Yerusalemu: mkewe Bathsheba, binti Amieli, alimzalia Shamua,* Shobabu, Nathani na Solomoni. 6Pia kulikuwa na wana wengine: Ibihari, Elishua, Elifeleti, 7Noga, Nefegi, Yafia, 8Elishama, Eliada na Elifeleti; wote walikuwa tisa. 9Hawa wote walikuwa wana wa Daudi, mbali na wale wana waliozaliwa na masuria. Naye Tamari alikuwa dada yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.