1 Nyakati 3:6
1 Chronicles 3:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pia kulikuwa na wana wengine: Ibihari, Elishua, Elifeleti,
1 Chronicles 3:6 in English
1 Chronicles 3:6 · Berean Standard Bible
David’s other sons were Ibhar,* Elishua,* Eliphelet,
Context
4Hawa sita walizaliwa huko Hebroni ambako Daudi alitawala kwa miaka saba na miezi sita.
Daudi alitawala Yerusalemu kwa miaka thelathini na mitatu, 5nao hawa ndio watoto wa Daudi waliozaliwa huko Yerusalemu:
mkewe Bathsheba, binti Amieli, alimzalia Shamua,* Shobabu, Nathani na Solomoni. 6Pia kulikuwa na wana wengine: Ibihari, Elishua, Elifeleti, 7Noga, Nefegi, Yafia, 8Elishama, Eliada na Elifeleti; wote walikuwa tisa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.