1 Nyakati 29:7
1 Chronicles 29:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakatoa kwa ajili ya kazi ya Hekalu la Mungu talanta 5,000* na darkoni 10,000* za dhahabu, talanta 10,000* za fedha, talanta 18,000* za shaba na talanta 100,000* za chuma.
1 Chronicles 29:7 in English
1 Chronicles 29:7 · Berean Standard Bible
Toward the service of God’s house they gave 5,000 talents * and 10,000 darics of gold,* 10,000 talents of silver,* 18,000 talents of bronze,* and 100,000 talents of iron.*
Context
5kwa kazi ya dhahabu na kazi ya fedha na kwa kazi yote itakayofanywa na mafundi. Basi, ni nani anayependa kujitoa kwa Bwana leo?” 6Ndipo viongozi wa jamaa, maafisa wa kabila za Israeli, majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia, pamoja na maafisa waliokuwa wasimamizi wa kazi za mfalme wakatoa kwa hiari yao. 7Wakatoa kwa ajili ya kazi ya Hekalu la Mungu talanta 5,000* na darkoni 10,000* za dhahabu, talanta 10,000* za fedha, talanta 18,000* za shaba na talanta 100,000* za chuma. 8Kila mmoja aliyekuwa na vito vya thamani akavitoa katika hazina ya Hekalu la Bwana chini ya uangalizi wa Yehieli Mgershoni. 9Watu wakafurahi kwa sababu ya itikio la hiari la viongozi wao, kwa kuwa walikuwa wametoa kwa hiari na kwa moyo wote kwa Bwana. Mfalme Daudi pia akafurahi sana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.