Native Bible

1 Chronicles 29:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sasa, Mungu wetu, tunakushukuru na kulisifu Jina lako tukufu.

1 Chronicles 29:13 in English

1 Chronicles 29:13 · Berean Standard Bible

Now therefore, our God, we give You thanks, and we praise Your glorious name.

Context

11Ukuu na uweza, ni vyako, Ee Bwana, na utukufu na enzi na uzuri, kwa kuwa kila kilichoko mbinguni na duniani ni chako wewe. Ee Bwana, ufalme ni wako; umetukuzwa kuwa mkuu juu ya yote. 12Utajiri na heshima vyatoka kwako; wewe ndiwe utawalaye vitu vyote. Mikononi mwako kuna nguvu na uweza ili kuinua na kuwapa wote nguvu, 13Sasa, Mungu wetu, tunakushukuru na kulisifu Jina lako tukufu. 14“Lakini mimi ni nani, nao watu wangu ni nani, hata tuweze kukutolea kwa ukarimu namna hii? Vitu vyote vyatoka kwako, nasi tumekutolea tu vile vitokavyo mkononi mwako. 15Sisi ni wageni na wapitaji machoni pako, kama walivyokuwa baba zetu wote. Siku zetu duniani ni kama kivuli, bila tumaini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.