1 Nyakati 24:7
1 Chronicles 24:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kura ya kwanza ilimwangukia Yehoyaribu, ya pili Yedaya,
1 Chronicles 24:7 in English
1 Chronicles 24:7 · Berean Standard Bible
The first lot fell to Jehoiarib, the second to Jedaiah,
Context
5Waliwagawanya bila upendeleo kwa kupiga kura, kwa kuwa kulikuwa na maafisa wa mahali patakatifu na maafisa wa Mungu miongoni mwa wazao wale wa Eleazari na wale wa Ithamari. 6Mwandishi Shemaya mwana wa Nethaneli, Mlawi, aliorodhesha majina yao mbele ya Mfalme Daudi na maafisa: Kuhani Sadoki, Ahimeleki mwana wa Abiathari, na viongozi wa jamaa za makuhani na za Walawi: jamaa moja ikitoka upande wa Eleazari na nyingine upande wa Ithamari. 7Kura ya kwanza ilimwangukia Yehoyaribu,
ya pili Yedaya, 8ya tatu Harimu,
ya nne Seorimu, 9ya tano Malkiya,
ya sita Miyamini,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.