1 Nyakati 24:8
1 Chronicles 24:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ya tatu Harimu, ya nne Seorimu,
1 Chronicles 24:8 in English
1 Chronicles 24:8 · Berean Standard Bible
the third to Harim, the fourth to Seorim,
Context
6Mwandishi Shemaya mwana wa Nethaneli, Mlawi, aliorodhesha majina yao mbele ya Mfalme Daudi na maafisa: Kuhani Sadoki, Ahimeleki mwana wa Abiathari, na viongozi wa jamaa za makuhani na za Walawi: jamaa moja ikitoka upande wa Eleazari na nyingine upande wa Ithamari. 7Kura ya kwanza ilimwangukia Yehoyaribu,
ya pili Yedaya, 8ya tatu Harimu,
ya nne Seorimu, 9ya tano Malkiya,
ya sita Miyamini, 10ya saba Hakosi,
ya nane Abiya,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.