Native Bible

1 Chronicles 24:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nao wana wa Mushi: walikuwa Mahli, Ederi na Yeremothi. Hawa walikuwa Walawi kulingana na jamaa zao.

1 Chronicles 24:30 in English

1 Chronicles 24:30 · Berean Standard Bible

And the sons of Mushi: Mahli, Eder, and Jerimoth.* These were the sons of the Levites, according to their families.

Context

28Kutoka kwa Mahli: alikuwa Eleazari, ambaye hakuwa na wana. 29Kutoka kwa Kishi: mwana wa Kishi: alikuwa Yerameeli. 30Nao wana wa Mushi: walikuwa Mahli, Ederi na Yeremothi. Hawa walikuwa Walawi kulingana na jamaa zao. 31Pia walipiga kura kama vile ndugu zao wazao wa Aroni walivyofanya, mbele ya Mfalme Daudi, Sadoki, Ahimeleki na mbele ya viongozi wa jamaa ya makuhani na ya Walawi. Jamaa za ndugu wakubwa zilitendewa sawasawa na zile za ndugu wadogo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.