1 Nyakati 24:28
1 Chronicles 24:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kutoka kwa Mahli: alikuwa Eleazari, ambaye hakuwa na wana.
1 Chronicles 24:28 in English
1 Chronicles 24:28 · Berean Standard Bible
From Mahli: Eleazar, who had no sons.
Context
26Wana wa Merari: walikuwa Mahli na Mushi.
Mwana wa Yaazia: alikuwa Beno. 27Wana wa Merari:
kutoka kwa Yaazia: ni Beno, Shohamu, Zakuri na Ibri. 28Kutoka kwa Mahli: alikuwa Eleazari, ambaye hakuwa na wana. 29Kutoka kwa Kishi: mwana wa Kishi:
alikuwa Yerameeli. 30Nao wana wa Mushi: walikuwa Mahli, Ederi na Yeremothi.
Hawa walikuwa Walawi kulingana na jamaa zao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.