Native Bible

1 Chronicles 24:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Merari: kutoka kwa Yaazia: ni Beno, Shohamu, Zakuri na Ibri.

1 Chronicles 24:27 in English

1 Chronicles 24:27 · Berean Standard Bible

The descendants of Merari from Jaaziah: Beno, Shoham, Zaccur, and Ibri.

Context

25Ndugu yake Mika: alikuwa Ishia; na kutoka kwa wana wa Ishia: alikuwa Zekaria. 26Wana wa Merari: walikuwa Mahli na Mushi. Mwana wa Yaazia: alikuwa Beno. 27Wana wa Merari: kutoka kwa Yaazia: ni Beno, Shohamu, Zakuri na Ibri. 28Kutoka kwa Mahli: alikuwa Eleazari, ambaye hakuwa na wana. 29Kutoka kwa Kishi: mwana wa Kishi: alikuwa Yerameeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.