1 Nyakati 24:25
1 Chronicles 24:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndugu yake Mika: alikuwa Ishia; na kutoka kwa wana wa Ishia: alikuwa Zekaria.
1 Chronicles 24:25 in English
1 Chronicles 24:25 · Berean Standard Bible
The brother of Micah: Isshiah; from the sons of Isshiah: Zechariah.
Context
23Wana wa Hebroni: Yeria alikuwa mkuu, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, na Yekameamu wa nne. 24Mwana wa Uzieli: alikuwa Mika;
kutoka kwa wana wa Mika: alikuwa Shamiri. 25Ndugu yake Mika: alikuwa Ishia;
na kutoka kwa wana wa Ishia: alikuwa Zekaria. 26Wana wa Merari: walikuwa Mahli na Mushi.
Mwana wa Yaazia: alikuwa Beno. 27Wana wa Merari:
kutoka kwa Yaazia: ni Beno, Shohamu, Zakuri na Ibri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.