1 Nyakati 24:23
1 Chronicles 24:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wana wa Hebroni: Yeria alikuwa mkuu, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, na Yekameamu wa nne.
1 Chronicles 24:23 in English
1 Chronicles 24:23 · Berean Standard Bible
From the sons of Hebron: Jeriah was the first,* Amariah the second, Jahaziel the third, and Jekameam the fourth.
Context
21Kwa wa Rehabia, kutoka kwa wanawe:
Ishia alikuwa wa kwanza. 22Kutoka kwa Waishari: alikuwa Shelomithi,
kutoka kwa wana wa Shelomithi: alikuwa Yahathi. 23Wana wa Hebroni: Yeria alikuwa mkuu, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, na Yekameamu wa nne. 24Mwana wa Uzieli: alikuwa Mika;
kutoka kwa wana wa Mika: alikuwa Shamiri. 25Ndugu yake Mika: alikuwa Ishia;
na kutoka kwa wana wa Ishia: alikuwa Zekaria.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.