Native Bible

1 Chronicles 24:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa wa Rehabia, kutoka kwa wanawe: Ishia alikuwa wa kwanza.

1 Chronicles 24:21 in English

1 Chronicles 24:21 · Berean Standard Bible

As for Rehabiah, from his sons: The first was Isshiah.*

Context

19Huu ulikuwa ndio utaratibu wao uliokubalika wa kuhudumu walipoingia katika Hekalu la Bwana kulingana na masharti waliyoelekezwa na Aroni baba yao, kama Bwana, Mungu wa Israeli, alivyokuwa amemwamuru. 20Kuhusu wazao wa Lawi waliobaki: Kutoka kwa wana wa Amramu: alikuwa Shubaeli; kutoka kwa wana wa Shubaeli: alikuwa Yedeya. 21Kwa wa Rehabia, kutoka kwa wanawe: Ishia alikuwa wa kwanza. 22Kutoka kwa Waishari: alikuwa Shelomithi, kutoka kwa wana wa Shelomithi: alikuwa Yahathi. 23Wana wa Hebroni: Yeria alikuwa mkuu, Amaria wa pili, Yahazieli wa tatu, na Yekameamu wa nne.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.