Native Bible

1 Chronicles 16:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bahari na ivume, na vyote vilivyomo ndani yake; mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo ndani yake.

1 Chronicles 16:32 in English

1 Chronicles 16:32 · Berean Standard Bible

Let the sea resound, and all that fills it; let the fields exult, and all that is in them.

Context

30Dunia yote na itetemeke mbele zake! Ulimwengu ameuweka imara; hauwezi kusogezwa. 31Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi; semeni katikati ya mataifa, “Bwana anatawala!” 32Bahari na ivume, na vyote vilivyomo ndani yake; mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo ndani yake. 33Kisha miti ya msituni itaimba, itaimba kwa furaha mbele za Bwana, kwa maana anakuja kuihukumu dunia. 34Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.