1 Nyakati 16:34
1 Chronicles 16:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; upendo wake wadumu milele.
1 Chronicles 16:34 in English
1 Chronicles 16:34 · Berean Standard Bible
Give thanks to the LORD, for He is good; His loving devotion * endures forever.
Context
32Bahari na ivume, na vyote vilivyomo ndani yake;
mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo ndani yake. 33Kisha miti ya msituni itaimba,
itaimba kwa furaha mbele za Bwana,
kwa maana anakuja kuihukumu dunia. 34Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema;
upendo wake wadumu milele. 35Mlilieni, “Ee Mungu Mwokozi wetu, tuokoe.
Tukusanye tena na utukomboe kutoka kwa mataifa,
ili tuweze kulishukuru jina lako takatifu,
na kushangilia katika sifa zako.” 36Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli,
tangu milele na hata milele.
Nao watu wote wakasema, “Amen,” na “Msifuni Bwana.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.