1 Nyakati 16:30
1 Chronicles 16:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Dunia yote na itetemeke mbele zake! Ulimwengu ameuweka imara; hauwezi kusogezwa.
1 Chronicles 16:30 in English
1 Chronicles 16:30 · Berean Standard Bible
tremble before Him, all the earth. The world is firmly established; it cannot be moved.
Context
28Mpeni Bwana, enyi jamaa za mataifa,
mpeni Bwana utukufu na nguvu, 29mpeni Bwana utukufu
unaostahili jina lake.
Leteni sadaka na mje katika nyua zake;
mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake. 30Dunia yote na itetemeke mbele zake!
Ulimwengu ameuweka imara; hauwezi kusogezwa. 31Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi;
semeni katikati ya mataifa, “Bwana anatawala!” 32Bahari na ivume, na vyote vilivyomo ndani yake;
mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo ndani yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.