Native Bible

1 Chronicles 16:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mpeni Bwana, enyi jamaa za mataifa, mpeni Bwana utukufu na nguvu,

1 Chronicles 16:28 in English

1 Chronicles 16:28 · Berean Standard Bible

Ascribe to the LORD, O families of the nations, ascribe to the LORD glory and strength.

Context

26Kwa maana miungu yote ya mataifa ni sanamu, lakini Bwana aliziumba mbingu. 27Fahari na enzi viko mbele yake; nguvu na utukufu vimo patakatifu pake. 28Mpeni Bwana, enyi jamaa za mataifa, mpeni Bwana utukufu na nguvu, 29mpeni Bwana utukufu unaostahili jina lake. Leteni sadaka na mje katika nyua zake; mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake. 30Dunia yote na itetemeke mbele zake! Ulimwengu ameuweka imara; hauwezi kusogezwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.