Native Bible

1 Chronicles 16:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana miungu yote ya mataifa ni sanamu, lakini Bwana aliziumba mbingu.

1 Chronicles 16:26 in English

1 Chronicles 16:26 · Berean Standard Bible

For all the gods of the nations are idols, but it is the LORD who made the heavens.

Context

24Tangazeni utukufu wake katikati ya mataifa, matendo yake ya ajabu miongoni mwa mataifa yote. 25Kwa kuwa Bwana ni mkuu, mwenye kustahili kusifiwa kuliko wote; yeye ni wa kuogopwa kuliko miungu yote. 26Kwa maana miungu yote ya mataifa ni sanamu, lakini Bwana aliziumba mbingu. 27Fahari na enzi viko mbele yake; nguvu na utukufu vimo patakatifu pake. 28Mpeni Bwana, enyi jamaa za mataifa, mpeni Bwana utukufu na nguvu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.