1 Nyakati 16:27
1 Chronicles 16:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Fahari na enzi viko mbele yake; nguvu na utukufu vimo patakatifu pake.
1 Chronicles 16:27 in English
1 Chronicles 16:27 · Berean Standard Bible
Splendor and majesty are before Him; strength and joy fill His dwelling.
Context
25Kwa kuwa Bwana ni mkuu,
mwenye kustahili kusifiwa kuliko wote;
yeye ni wa kuogopwa kuliko miungu yote. 26Kwa maana miungu yote ya mataifa ni sanamu,
lakini Bwana aliziumba mbingu. 27Fahari na enzi viko mbele yake;
nguvu na utukufu vimo patakatifu pake. 28Mpeni Bwana, enyi jamaa za mataifa,
mpeni Bwana utukufu na nguvu, 29mpeni Bwana utukufu
unaostahili jina lake.
Leteni sadaka na mje katika nyua zake;
mwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.