Native Bible

1 Chronicles 15:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kutoka wazao wa Kohathi, Urieli kiongozi na ndugu zake 120,

1 Chronicles 15:5 in English

1 Chronicles 15:5 · Berean Standard Bible

From the Kohathites, Uriel the chief and 120 of his relatives;

Context

3Daudi akawakusanya Israeli wote huko Yerusalemu ili kulipandisha Sanduku la Bwana na kulileta hadi kwenye sehemu aliyokuwa ametengeneza kwa ajili yake. 4Kisha Daudi akawakusanya pamoja wazao wa Aroni na Walawi: 5Kutoka wazao wa Kohathi, Urieli kiongozi na ndugu zake 120, 6Kutoka wazao wa Merari, Asaya kiongozi na ndugu zake 220. 7Kutoka wazao wa Gershoni,* Yoeli kiongozi na ndugu zake 130.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.