1 Nyakati 15:4
1 Chronicles 15:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha Daudi akawakusanya pamoja wazao wa Aroni na Walawi:
1 Chronicles 15:4 in English
1 Chronicles 15:4 · Berean Standard Bible
Then he gathered together the descendants of Aaron and the Levites:
Context
2Kisha Daudi akasema, “Hakuna mtu yeyote anayeruhusiwa kulibeba Sanduku la Mungu isipokuwa Walawi peke yao, kwa sababu Bwana aliwachagua kulibeba Sanduku la Bwana na kuhudumu mbele zake milele.” 3Daudi akawakusanya Israeli wote huko Yerusalemu ili kulipandisha Sanduku la Bwana na kulileta hadi kwenye sehemu aliyokuwa ametengeneza kwa ajili yake. 4Kisha Daudi akawakusanya pamoja wazao wa Aroni na Walawi: 5Kutoka wazao wa Kohathi,
Urieli kiongozi na ndugu zake 120, 6Kutoka wazao wa Merari,
Asaya kiongozi na ndugu zake 220.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.