Native Bible

1 Chronicles 14:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hivyo Daudi pamoja na watu wake wakakwea mpaka Baal-Perasimu,* akawashinda huko. Akasema, “Kama maji yafurikavyo, Mungu amewafurikia adui zangu kwa kutumia mkono wangu.” Kwa hiyo mahali pale pakaitwa Baal-Perasimu.

1 Chronicles 14:11 in English

1 Chronicles 14:11 · Berean Standard Bible

So David and his men went up to Baal-perazim, where he defeated the Philistines and said, “Like a bursting flood, God has burst out against my enemies by my hand.” So they called that place Baal-perazim.*

Context

9Basi Wafilisti walikuwa wameingia na kushambulia Bonde la Warefai, 10Hivyo Daudi akamuuliza Mungu: “Je, niende kuwashambulia hao Wafilisti? Je, utawatia mikononi mwangu?” Bwana akamjibu, “Nenda, nitawatia mikononi mwako.” 11Hivyo Daudi pamoja na watu wake wakakwea mpaka Baal-Perasimu,* akawashinda huko. Akasema, “Kama maji yafurikavyo, Mungu amewafurikia adui zangu kwa kutumia mkono wangu.” Kwa hiyo mahali pale pakaitwa Baal-Perasimu. 12Wafilisti walikuwa wameacha miungu yao huko, Daudi akaamuru iteketezwe kwa moto. 13Kwa mara nyingine Wafilisti wakavamia lile bonde;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.