Native Bible

1 Chronicles 14:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi Wafilisti walikuwa wameingia na kushambulia Bonde la Warefai,

1 Chronicles 14:9 in English

1 Chronicles 14:9 · Berean Standard Bible

Now the Philistines had come and raided the Valley of Rephaim.

Context

7Elishama, Beeliada na Elifeleti. 8Wafilisti waliposikia kuwa Daudi ametiwa mafuta kuwa mfalme wa Israeli yote, wakapanda na jeshi lao lote kwenda kumsaka, lakini Daudi akapata habari hizo, naye akatoka ili kwenda kukabiliana nao. 9Basi Wafilisti walikuwa wameingia na kushambulia Bonde la Warefai, 10Hivyo Daudi akamuuliza Mungu: “Je, niende kuwashambulia hao Wafilisti? Je, utawatia mikononi mwangu?” Bwana akamjibu, “Nenda, nitawatia mikononi mwako.” 11Hivyo Daudi pamoja na watu wake wakakwea mpaka Baal-Perasimu,* akawashinda huko. Akasema, “Kama maji yafurikavyo, Mungu amewafurikia adui zangu kwa kutumia mkono wangu.” Kwa hiyo mahali pale pakaitwa Baal-Perasimu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.