Native Bible

1 Chronicles 14:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Elishama, Beeliada na Elifeleti.

1 Chronicles 14:7 in English

1 Chronicles 14:7 · Berean Standard Bible

Elishama, Beeliada,* and Eliphelet.

Context

5Ibihari, Elishua, Elpeleti, 6Noga, Nefegi, Yafia, 7Elishama, Beeliada na Elifeleti. 8Wafilisti waliposikia kuwa Daudi ametiwa mafuta kuwa mfalme wa Israeli yote, wakapanda na jeshi lao lote kwenda kumsaka, lakini Daudi akapata habari hizo, naye akatoka ili kwenda kukabiliana nao. 9Basi Wafilisti walikuwa wameingia na kushambulia Bonde la Warefai,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.