1 Nyakati 12:25
1 Chronicles 12:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watu wa Simeoni, mashujaa waliokuwa tayari kwa vita walikuwa 7,100.
1 Chronicles 12:25 in English
1 Chronicles 12:25 · Berean Standard Bible
From Simeon: 7,100 mighty men of valor, ready for battle.
Context
23Hawa ndio watu waliojiandaa kwa ajili ya vita waliokuja kwa Daudi huko Hebroni ili kumtwalia ufalme kutoka kwa Sauli, kama Bwana alivyokuwa amesema: 24watu wa Yuda, wanaochukua ngao na mikuki walikuwa 6,800 wote wakiwa tayari kwa vita. 25Watu wa Simeoni, mashujaa waliokuwa tayari kwa vita walikuwa 7,100. 26Watu wa Lawi walikuwa 4,600, 27pamoja na Yehoyada, kiongozi wa jamaa ya Aroni, aliyekuwa pamoja na watu 3,700,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.