Native Bible

1 Chronicles 12:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

watu wa Yuda, wanaochukua ngao na mikuki walikuwa 6,800 wote wakiwa tayari kwa vita.

1 Chronicles 12:24 in English

1 Chronicles 12:24 · Berean Standard Bible

From Judah: 6,800 armed troops bearing shields and spears.

Context

22Siku baada ya siku watu walikuja kumsaidia Daudi, mpaka akawa na jeshi kubwa, kama jeshi la Mungu. 23Hawa ndio watu waliojiandaa kwa ajili ya vita waliokuja kwa Daudi huko Hebroni ili kumtwalia ufalme kutoka kwa Sauli, kama Bwana alivyokuwa amesema: 24watu wa Yuda, wanaochukua ngao na mikuki walikuwa 6,800 wote wakiwa tayari kwa vita. 25Watu wa Simeoni, mashujaa waliokuwa tayari kwa vita walikuwa 7,100. 26Watu wa Lawi walikuwa 4,600,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.