1 Nyakati 12:26
1 Chronicles 12:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watu wa Lawi walikuwa 4,600,
1 Chronicles 12:26 in English
1 Chronicles 12:26 · Berean Standard Bible
From Levi: 4,600,
Context
24watu wa Yuda, wanaochukua ngao na mikuki walikuwa 6,800 wote wakiwa tayari kwa vita. 25Watu wa Simeoni, mashujaa waliokuwa tayari kwa vita walikuwa 7,100. 26Watu wa Lawi walikuwa 4,600, 27pamoja na Yehoyada, kiongozi wa jamaa ya Aroni, aliyekuwa pamoja na watu 3,700, 28na Sadoki, kijana shujaa na hodari, aliyekuwa pamoja na maafisa ishirini na wawili kutoka jamaa yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.