Native Bible

1 Chronicles 12:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

pamoja na Yehoyada, kiongozi wa jamaa ya Aroni, aliyekuwa pamoja na watu 3,700,

1 Chronicles 12:27 in English

1 Chronicles 12:27 · Berean Standard Bible

including Jehoiada, leader of the house of Aaron, with 3,700 men,

Context

25Watu wa Simeoni, mashujaa waliokuwa tayari kwa vita walikuwa 7,100. 26Watu wa Lawi walikuwa 4,600, 27pamoja na Yehoyada, kiongozi wa jamaa ya Aroni, aliyekuwa pamoja na watu 3,700, 28na Sadoki, kijana shujaa na hodari, aliyekuwa pamoja na maafisa ishirini na wawili kutoka jamaa yake. 29Watu wa Benyamini, ndugu zake Sauli, walikuwa 3,000; wengi wao walikuwa wameendelea kuwa waaminifu kwa Sauli mpaka wakati huo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.