1 Nyakati 1:47
1 Chronicles 1:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake.
1 Chronicles 1:47 in English
1 Chronicles 1:47 · Berean Standard Bible
When Hadad died, Samlah from Masrekah reigned in his place.
Context
45Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake. 46Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi. 47Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake. 48Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati, akawa mfalme baada yake. 49Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.