1 Nyakati 1:49
1 Chronicles 1:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake.
1 Chronicles 1:49 in English
1 Chronicles 1:49 · Berean Standard Bible
When Shaul died, Baal-hanan son of Achbor reigned in his place.
Context
47Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake. 48Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati, akawa mfalme baada yake. 49Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake. 50Baal-Hanani alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu. 51Naye Hadadi pia akafa.
Wakuu wa Edomu walikuwa:
Timna, Alva, Yethethi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.