Native Bible

1 Chronicles 1:48 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati, akawa mfalme baada yake.

1 Chronicles 1:48 in English

1 Chronicles 1:48 · Berean Standard Bible

When Samlah died, Shaul from Rehoboth on the Euphrates * reigned in his place.

Context

46Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi. 47Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake. 48Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati, akawa mfalme baada yake. 49Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake. 50Baal-Hanani alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.