Native Bible

1 Chronicles 1:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake.

1 Chronicles 1:45 in English

1 Chronicles 1:45 · Berean Standard Bible

When Jobab died, Husham from the land of the Temanites reigned in his place.

Context

43Hawa ndio wafalme waliotawala Edomu kabla hajatawala mfalme yeyote wa Waisraeli: Bela mwana wa Beori, ambaye mji wake ni Dinhaba. 44Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake. 45Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake. 46Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi. 47Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.