Native Bible

1 Chronicles 1:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa ndio wafalme waliotawala Edomu kabla hajatawala mfalme yeyote wa Waisraeli: Bela mwana wa Beori, ambaye mji wake ni Dinhaba.

1 Chronicles 1:43 in English

1 Chronicles 1:43 · Berean Standard Bible

These are the kings who reigned in the land of Edom before any king reigned over the Israelites:* Bela son of Beor. His city was named Dinhabah.

Context

41Mwana wa Ana alikuwa: Dishoni. Nao wana wa Dishoni walikuwa: Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani. 42Wana wa Eseri walikuwa: Bilhani, Zaavani na Akani. Wana wa Dishani walikuwa: Usi na Arani. 43Hawa ndio wafalme waliotawala Edomu kabla hajatawala mfalme yeyote wa Waisraeli: Bela mwana wa Beori, ambaye mji wake ni Dinhaba. 44Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake. 45Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.