Native Bible

1 Chronicles 1:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa Eseri walikuwa: Bilhani, Zaavani na Akani. Wana wa Dishani walikuwa: Usi na Arani.

1 Chronicles 1:42 in English

1 Chronicles 1:42 · Berean Standard Bible

The sons of Ezer: Bilhan, Zaavan, and Akan.* The sons of Dishan: Uz and Aran.

Context

40Wana wa Shobali walikuwa: Alvani,* Manahathi, Ebali, Shefo na Onamu. Wana wa Sibeoni walikuwa: Aiya na Ana. 41Mwana wa Ana alikuwa: Dishoni. Nao wana wa Dishoni walikuwa: Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani. 42Wana wa Eseri walikuwa: Bilhani, Zaavani na Akani. Wana wa Dishani walikuwa: Usi na Arani. 43Hawa ndio wafalme waliotawala Edomu kabla hajatawala mfalme yeyote wa Waisraeli: Bela mwana wa Beori, ambaye mji wake ni Dinhaba. 44Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.