Wimbo 8:6
Song of Songs 8:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
(5) Nilikuamsha chini ya mtofaa, huko mama yako alipotunga mimba yako, huko yeye alipata utungu akakuzaa. (6) Nitie kama muhuri moyoni mwako, kama muhuri kwenye mkono wako; kwa maana upendo una nguvu kama mauti, wivu wake ni mkatili kama kuzimu. Unachoma kama mwali wa moto, kama mwali mkubwa wa moto wa Bwana hasa.
Song of Songs 8:6 in English
Song of Songs 8:6 · Berean Standard Bible
(5) I roused you under the apple tree; there your mother conceived you; there she travailed and brought you forth. (6) Set me as a seal over your heart, as a seal upon your arm. For love is as strong as death, its jealousy * as unrelenting as Sheol. Its sparks are fiery flames, the fiercest blaze of all.
Context
4Binti za Yerusalemu, ninawaagiza:
msichochee wala kuamsha mapenzi
hata yatakapotaka yenyewe. 5Ni nani huyu anayekuja kutoka nyikani
akimwegemea mpenzi wake? 6(5) Nilikuamsha chini ya mtofaa,
huko mama yako alipotunga mimba yako,
huko yeye alipata utungu akakuzaa.
(6) Nitie kama muhuri moyoni mwako,
kama muhuri kwenye mkono wako;
kwa maana upendo una nguvu kama mauti,
wivu wake ni mkatili kama kuzimu.
Unachoma kama mwali wa moto,
kama mwali mkubwa wa moto wa Bwana hasa. 7Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo,
mito haiwezi kuugharikisha.
Kama mtu angelitoa mali yote ya nyumbani mwake
kwa ajili ya upendo,
angelidharauliwa kabisa. 8Tunaye dada mdogo,
matiti yake hayajakua bado.
Tutafanya nini kwa ajili ya dada yetu
wakati atakapokuja kuposwa?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.