Wimbo 7:5
Song of Songs 7:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kichwa chako kinakuvika taji kama mlima Karmeli. Nywele zako ni kama zulia la urujuani; mfalme ametekwa na mashungi yake.
Song of Songs 7:5 in English
Song of Songs 7:5 · Berean Standard Bible
Your head crowns you like Mount Carmel, the hair of your head like purple threads; the king is captured in your tresses.
Context
3Matiti yako ni kama wana-paa wawili,
mapacha wa paa. 4Shingo yako ni kama mnara wa pembe ya ndovu.
Macho yako ni vidimbwi vya Heshboni
karibu na lango la Beth-Rabi.
Pua lako ni kama mnara wa Lebanoni
ukitazama kuelekea Dameski. 5Kichwa chako kinakuvika taji kama mlima Karmeli.
Nywele zako ni kama zulia la urujuani;
mfalme ametekwa na mashungi yake. 6Tazama jinsi ulivyo mzuri na unavyopendeza,
ee pendo, kwa uzuri wako! 7Umbo lako ni kama la mtende,
nayo matiti yako kama vishada vya matunda.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.