Native Bible

Song of Songs 7:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tazama jinsi ulivyo mzuri na unavyopendeza, ee pendo, kwa uzuri wako!

Song of Songs 7:6 in English

Song of Songs 7:6 · Berean Standard Bible

How fair and pleasant you are, O love, with your delights!

Context

4Shingo yako ni kama mnara wa pembe ya ndovu. Macho yako ni vidimbwi vya Heshboni karibu na lango la Beth-Rabi. Pua lako ni kama mnara wa Lebanoni ukitazama kuelekea Dameski. 5Kichwa chako kinakuvika taji kama mlima Karmeli. Nywele zako ni kama zulia la urujuani; mfalme ametekwa na mashungi yake. 6Tazama jinsi ulivyo mzuri na unavyopendeza, ee pendo, kwa uzuri wako! 7Umbo lako ni kama la mtende, nayo matiti yako kama vishada vya matunda. 8Nilisema, “Nitakwea mtende, nami nitayashika matunda yake.” Matiti yako na yawe kama vishada vya mzabibu, harufu nzuri ya pumzi yako kama matofaa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.