Wimbo 5:2
Song of Songs 5:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
(1) Kuleni, enyi marafiki, mnywe; kunyweni ya kutosha, ee wapenzi.
Song of Songs 5:2 in English
Song of Songs 5:2 · Berean Standard Bible
(1) Eat, O friends, and drink; drink freely, O beloved.
Context
1Nimekuja kwenye bustani yangu, dada yangu,
bibi arusi wangu;
nimekusanya manemane yangu pamoja
na kikolezo changu.
Nimekula sega langu la asali na asali yangu;
nimekunywa divai yangu na maziwa yangu. 2(1) Kuleni, enyi marafiki, mnywe;
kunyweni ya kutosha, ee wapenzi. 3(2) Nililala lakini moyo wangu ulikuwa macho.
Sikiliza! Mpenzi wangu anabisha:
“Nifungulie, dada yangu, mpenzi wangu,
hua wangu, asiye na hitilafu.
Kichwa changu kimeloa umande,
na nywele zangu manyunyu ya usiku.”
(3) Nimevua joho langu:
je, ni lazima nivae tena?
Nimenawa miguu yangu:
je, ni lazima niichafue tena? 4Mpenzi wangu aliweka mkono wake kwenye tundu la komeo;
moyo wangu ulianza kugonga kwa ajili yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.