Native Bible

Song of Songs 4:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata kupambazuke na vivuli vikimbie, nitakwenda kwenye mlima wa manemane na kwenye kilima cha uvumba.

Song of Songs 4:6 in English

Song of Songs 4:6 · Berean Standard Bible

Before the day breaks and the shadows flee, I will make my way to the mountain of myrrh and to the hill of frankincense.

Context

4Shingo yako ni kama mnara wa Daudi, uliojengwa kwa madaha, juu yake zimetundikwa ngao elfu, zote ni ngao za mashujaa. 5Matiti yako mawili ni kama wana-paa wawili, kama wana-paa mapacha wajilishao katikati ya yungiyungi. 6Hata kupambazuke na vivuli vikimbie, nitakwenda kwenye mlima wa manemane na kwenye kilima cha uvumba. 7Wewe ni mzuri kote, mpenzi wangu, hakuna hitilafu ndani yako. 8Enda nami kutoka Lebanoni, bibi arusi wangu, enda nami kutoka Lebanoni. Shuka kutoka ncha ya Amana, kutoka juu ya Seniri, kilele cha Hermoni, kutoka mapango ya simba na kutoka mlima wapendapo kukaa chui.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.