Native Bible

Song of Songs 4:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Matiti yako mawili ni kama wana-paa wawili, kama wana-paa mapacha wajilishao katikati ya yungiyungi.

Song of Songs 4:5 in English

Song of Songs 4:5 · Berean Standard Bible

Your breasts are like two fawns, twins of a gazelle grazing among the lilies.

Context

3Midomo yako ni kama uzi mwekundu, kinywa chako kinapendeza. Mashavu yako nyuma ya shela yako ni kama vipande viwili vya komamanga. 4Shingo yako ni kama mnara wa Daudi, uliojengwa kwa madaha, juu yake zimetundikwa ngao elfu, zote ni ngao za mashujaa. 5Matiti yako mawili ni kama wana-paa wawili, kama wana-paa mapacha wajilishao katikati ya yungiyungi. 6Hata kupambazuke na vivuli vikimbie, nitakwenda kwenye mlima wa manemane na kwenye kilima cha uvumba. 7Wewe ni mzuri kote, mpenzi wangu, hakuna hitilafu ndani yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.