Native Bible

Song of Songs 3:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wote wamevaa panga, wote wazoefu katika vita, kila mmoja na upanga wake pajani, wamejiandaa kwa ajili ya hofu za usiku.

Song of Songs 3:8 in English

Song of Songs 3:8 · Berean Standard Bible

All are skilled with the sword, experienced in warfare. Each has his sword at his side prepared for the terror of the night.

Context

6Ni nani huyu anayekuja kutoka jangwani kama nguzo ya moshi, anayenukia manemane na uvumba iliyotengenezwa kwa vikolezo vyote vya mfanyabiashara? 7Tazama! Ni gari la Solomoni lisindikizwalo na mashujaa sitini, walio wakuu sana wa Israeli, 8wote wamevaa panga, wote wazoefu katika vita, kila mmoja na upanga wake pajani, wamejiandaa kwa ajili ya hofu za usiku. 9Mfalme Solomoni alijitengenezea gari; alilitengeneza kwa mbao kutoka Lebanoni. 10Nguzo zake alizitengeneza kwa fedha, kitako chake kwa dhahabu. Kiti chake kilipambwa kwa zambarau, gari lake likanakshiwa njumu kwa upendo na binti za Yerusalemu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.