Native Bible

Song of Songs 2:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maua yanatokea juu ya nchi; majira ya kuimba yamewadia, sauti za njiwa zinasikika katika nchi yetu.

Song of Songs 2:12 in English

Song of Songs 2:12 · Berean Standard Bible

The flowers have appeared in the countryside; the season of singing * has come, and the cooing of turtledoves is heard in our land.

Context

10Mpenzi wangu alizungumza na kuniambia, “Inuka, mpenzi wangu, mrembo wangu, tufuatane. 11Tazama! Wakati wa masika umepita, mvua imekwisha na ikapita. 12Maua yanatokea juu ya nchi; majira ya kuimba yamewadia, sauti za njiwa zinasikika katika nchi yetu. 13Mtini unatunga matunda yake ya mwanzoni, zabibu zinazochanua zaeneza harufu nzuri. Inuka, njoo mpenzi wangu. Mrembo wangu, tufuatane.” 14Hua wangu penye nyufa za majabali, mafichoni pembezoni mwa mlima, nionyeshe uso wako, na niisikie sauti yako, kwa maana sauti yako ni tamu, na uso wako unapendeza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.