Native Bible

Ruth 1:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maloni na Kilioni pia wakafa. Basi Naomi akabaki hana mume wala wanawe wawili.

Ruth 1:5 in English

Ruth 1:5 · Berean Standard Bible

both Mahlon and Chilion also died, and Naomi was left without her two sons and without her husband.

Context

3Elimeleki mumewe Naomi akafa, hivyo Naomi akabaki na wanawe wawili. 4Nao wakaoa wanawake Wamoabu, jina la mmoja aliitwa Orpa, na wa pili aliitwa Ruthu. Baada ya kama miaka kumi, 5Maloni na Kilioni pia wakafa. Basi Naomi akabaki hana mume wala wanawe wawili. 6Aliposikia akiwa huko Moabu kwamba Bwana amewasaidia watu wake kwa kuwapa chakula, Naomi na wakweze wakajiandaa kurudi nyumbani. 7Yeye na wakweze wawili wakaondoka pale walipokuwa wakiishi na kushika njia kurudi nchi ya Yuda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.