Ruthu 1:7
Ruth 1:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye na wakweze wawili wakaondoka pale walipokuwa wakiishi na kushika njia kurudi nchi ya Yuda.
Ruth 1:7 in English
Ruth 1:7 · Berean Standard Bible
Accompanied by her two daughters-in-law, she left the place where she had been living and set out on the road leading back to the land of Judah.
Context
5Maloni na Kilioni pia wakafa. Basi Naomi akabaki hana mume wala wanawe wawili. 6Aliposikia akiwa huko Moabu kwamba Bwana amewasaidia watu wake kwa kuwapa chakula, Naomi na wakweze wakajiandaa kurudi nyumbani. 7Yeye na wakweze wawili wakaondoka pale walipokuwa wakiishi na kushika njia kurudi nchi ya Yuda. 8Ndipo Naomi akawaambia wale wakwe zake wawili, “Rudini, kila mmoja wenu nyumbani kwa mama yake. Bwana na awatendee fadhili kama mlivyowatendea hao waliofariki, na pia mimi. 9Bwana na amjalie kila mmoja wenu maisha mema nyumbani kwa mume mwingine.”
Kisha akawabusu, nao wakalia kwa sauti kubwa,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.