Native Bible

Romans 16:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wasalimuni Androniko na Yunia, jamaa zangu ambao wamekuwa gerezani pamoja nami. Wao ni maarufu miongoni mwa mitume, nao walikuwa katika Kristo kabla yangu.

Romans 16:7 in English

Romans 16:7 · Berean Standard Bible

Greet Andronicus and Junia,* my fellow countrymen and fellow prisoners. They are outstanding among the apostles, and they were in Christ before I was.

Context

5Lisalimuni pia kanisa linalokutana nyumbani mwao. Msalimuni rafiki yangu mpendwa Epaineto, aliyekuwa mtu wa kwanza kumwamini Kristo huko Asia. 6Msalimuni Maria, aliyefanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu. 7Wasalimuni Androniko na Yunia, jamaa zangu ambao wamekuwa gerezani pamoja nami. Wao ni maarufu miongoni mwa mitume, nao walikuwa katika Kristo kabla yangu. 8Msalimuni Ampliato, yeye nimpendaye katika Bwana. 9Msalimuni Urbano, mtendakazi mwenzetu katika Kristo, pamoja na rafiki yangu mpendwa Stakisi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.